• International News.
  • Fashion News
  • Sports News

SITTA NA LOWASSA USO KWA USO MWANZA

HATIMAYE Samweli Sitta na Lowassa wakutana jijini Mwanza leo, katika safari zao za kusaka wadhamini wa kuwania Urais, ambapo walipata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali huku, wakipongeza makatibu wa chama kwa kazi nzuri waliyofanya kwa kuwasaidia kazi yao ya kutafuta wadhamini kufanikiwa.

Sikiliza hapo chini kujua walichokuwa wanakizungumza.
USIKOSE KUSIKILIZA MASKANI YA 100.5TIMESFM KWA HABARI KAMILI


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment