• International News.
  • Fashion News
  • Sports News

MUHIDIN MAALIM GURUMO AZIKWA KWAO MASAKI

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Professa Jay (katikati) ni miongoni wa wasanii wa muziki huo wa kizazi kipya kuhudhuria mazishi ya muimbaji nguli Maalim Gurumo
Mtoto wa Marehemu Gurumo, Abdallah Gurumo akisaidiwa kutoka eneo la makaburini mara baada ya kukamilisha zoezi la maziko
Rais wa shirikisho la Muziki Tanzania Addo November (mwenye shati ya mikono mirefu), akiongoza waombolezaji kubeba mwili wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Masaki Kisarawe.
PICTURES BY : KAJUNASON
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment