Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam kata ya Kawe akijiandaa kupiga picha ili kukamilisha zoezi la kujiandikisha kwenye dafrati la wapiga kura
Mkazi wa Kawe akitoa taarifa zake ikiwa ni moja ya maandalizi ya kujiandikisha kupiga kura
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakioneshana vitambulisho vyao mara baada ya kumaliza zoezi hilo la kujiandikisha
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment