TIMESFM NA CHAPA NYATI WAINGIA MTAANI KWAKO
TIMESFM, kushirikiana na Unga safi wa Ngano Chapa Nyati wameaanda kapu maalumu kwa ajili ya wasikilizaji wa 100.5 ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani.
Timesfm na Chapa Nyati, wanatoa zawadi hizo kwa wasikilizaji wao ili kuungana pamoja kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, ambapo gari la Timesfm litapita mtaani kwako na kutoa zawadi hizo mbalimbali (kakitu).
Kaata tayari mtaani kwako kwa kutembelewa na gari ya Timesfm huku ukipokea kikapu cha zawadi ya mwezi mtukufu, zoezi hilo linatarajia kuanza kesho mapema.
0 comments:
Post a Comment