leo Ukweli upo wapi? je Irene Uwoya anamimba je mimba hiyo ni ya Msamii?, ni maswali ambayo unaweza kujiuliza baada ya kumsikiliza Mtangazaji wa Clouds Fm, Soudy Brown jana alipokua akizungumza na Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Msamii juu ya uvumi unaovuma juu ya mimba ya msanii wa bongo movi Irene Uwoya.
Soudy Brown kasikika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.
Awali alikanusha taarifa lakini baadaye
akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli basi ni ya kwake huku
akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.

0 comments:
Post a Comment