• International News.
  • Fashion News
  • Sports News

RAY C AKANUSHA VIKALI KURUDIANA NA MWISHO MWAMPAMBA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Rehema Charamila a.k.a Ray C akanusha vikali kurudiana na aliyewahi kuwa mpenzi wake Mwisho Mwampamba ambaye alishawahi kuwakilisha nchi katika shindano la Big Brother Afrika.
 
Habari hizo zimeonekana kupokelewa kwa hisia tofauti na msanii huyo ambapo aliandika katika ukurasa wake wa Instagram juu ya kukanusha taarifa hiyo iliyoandikwa kwenye moja ya gazeti la Udaka nchini.

Msanii huyo aliandika kwenye ukurasa wake huo wa Istagram juu ya kushangazwa kwa habari hiyo na kudai kuwa hawezi kurudiana na mwanaume huyo.

"Sijamuona Mwisho na kama mwaka wa sita huu, udakiu mwingine umezidi kwa kweli sipendi He is happily Married and i respect him ati i met him week we exchanged number that's a big big lie jaman am happy n single am loving my life" Ray c ameandika kwenye ukurasa wake wa Istagram ambapo maneno hayo yaliambatana na gazeti hilo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment