MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Miondoko ya Hip Hop, Nicki wa Pili, ameitaka serikali kubuni vyanzo vipya vya mapato, na kuacha kutegemea vyanzo vya mapato vinavyotokana na kodi wafanyakazi wanaolipwa 250,000 kima cha chini.
Akizungumza na Zourhad Nicki aliweka wazi kuwa serikali itumie ubunifu kwa kutengeneza bajeti inayokidhi matumizi ya nchi, huku akiweka wazi kuwa bajeti zinazotengenezwa hivi sasa zinafanana kila mwakahali inayoonesha hakuna ubunifu wala kitu kipya katika bajeti inayoundwa na serikali kila mwaka.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment