Aliyekuwa katibu mkuu mtendaji wa klabu ya Simba Muhina Seif Mohamed Kaduguda amesema anapata wakati mgumu wa kwenda kinyume na maazimio aliyojiwekea ya kutowania nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Klabu ya Simba ambayo ipo kwenye harakati za kuingia katika wimbi la uchaguzi.
Kaduguda amesema anapata wakati mgumu wa kufanya maamuzi kutokana na maombi ya wanachama wenzake ambao wanamtaka kurejea katika mbio za kuwania moja ya nafasi za uongozi klabuni hapo kutokana na msimamo aliouonyesha wakati akiongoza chini ya mwenyekiti Hassan Dalali.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment