JUMUIYA YA WAISLAM TANZANIA WAMTAKA MH. LUKUVI KUWAOMBA RADHI WAISLAM DHIDI YA KAULI YAKE
Msemaji wa Jumuiya na taasisi ya kiislam Tanzania, Rajab
Katimba (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam na kutoa
tamko na kumtaka Waziri wa Ncho ya Ofisi ya Rais, William Lukuvi kuomba radhi
Waislam kutokana na kauli aliyoitoa kanisa wakati wa bunge la katiba
likiendelea dhidi ya Waislam.
0 comments:
Post a Comment