FASHION GALA NIGHT RED CARPET
Hawa ni baadhi ya watu maarufu waliohudhuria kwa kiasi kikubwa katika usiku wa ubunifu wa mitindo ya mavazi katika jumba la makumbusho la sanaa la Metropolitan (Metropolitan Museum of Art’s annual Costume Institute Gala) ambayo pia inajulikana kama Met Ball.
Mwaka huu sherehe hizo zilikuwa ni maalumu kwa Charles James na wanaume walitakiwa kuvaa tai nyeupe ikiwa na koti kubwa ambalo nyuma linaonekana ndefu mbele fupi likiwa na mkato pembeni.
0 comments:
Post a Comment