• International News.
  • Fashion News
  • Sports News

YALIYOJILI USIKU WA PASAKA


Msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu akionesha mashabiki tuzo yake mara baadaa ya kuibuka mshindi Sexiest Girl iliyondaliwa na kampuni ya Global Publish wachapaji wa magazeti pendwa. Tukio hilo lilifanyika juzi siku ya Pasaka katika Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam.



Msanii wa Hip Hop Joh Makini akiwa juu ya jukwaa la Dar Live Mbagara akiwapagawisha mashabiki wake

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini miondoko ya Hip Hop (kulia), Niki wa pili pamoja na G.Nako wakifanya show ndani ukumbi wa Dar Live Mbagara 

Msanii wa filamu Wema Sepetu akionesha mashabiki wake tuzo  mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment